JOIN NOW JOIN NOW SUBSCRIBE

JIUNGE HAPA KWENYE CHANNELI YETU YA WHATSAPP ILI UWEZE KUPATA TAARIFA KWA HARAKA

OFAAA OFAAAAAA OFAAAAA
TUNAFUNGA GAS KWENYE MAGARI ya petroli kwa mkoa wa dar es Salaam TU kwa utaalamu wa hali ya juu unaofanywa na wahandisi wa magari na kuifanya gari yako kutembea bila gharama kubwa za mafuta na utaokoa asilimia 75% za gharama ya mafuta

See also  ACCOUNTING Exam Papers (2 & 1) and Memos November 2023 Memorandum Grade 11 Pdf for Gauteng, Limpopo, Western Cape, Eastern Cape, Northern Cape, Kwazulu Natal, Mpumalanga, Free State, and North West Province in Term 4

OFAAA YA Gharama za ufungaji mfumo ni kulingana na ukubwa wa mtungi na aina ya gari

BEI : MILLION 2 kwa mtungi wa kilo 15
MILLION 1.8 Kwa mtungi wa kilo 11
MILLION 1.6 kwa mtungi wa kilo 9
PUNGUZO LA HAPO JUU NI LAKI MOJA KWA KILA BEI YA ZAMANI
NOTE: OFA hii ni ya mda wa ramadhani tu

N.B: Lakini gari kubwa kama Prado, hilux na yenye SIX CYLINDER Bei ni milion 2.2

MAKADILIO YA UMBALI cc 1200 hadi 1400

Kg 15 inatembea km 230
Kg 11 unatembea km 180
Kg 9 inatembea km 120
NOTE: Huu umbali unatofautiana kulingana na cc za engine yako lakini gas itakusave kwa asilimia 75% ya umbali na gharama za mafuta

PIA KUMBUKA GAS KILO 1 NI SHILINGI 1550 Tu

Ukifunga gas kwenye gari haimaanishi mfumo wa zamani wa mafuta unaondoka hapana!! Ila unakuwepo na ukiamua kuswitch unaswitch mwenyewe kwamba sasa nataka kutumia mafuta au sasa nataka kutumia gas
Sisi tuna iset gari iji switch automatically kwenda kwenye gas ikifika r.p.m kadhaa za silence.

Pia ukifunga gas kwenye gari yako utaifanya engine yako kuishi maisha marefu zaidi kwa kuwa gas ni clean zaidi ya mafuta hivo inachomwa vizuri na inasaidia kutunza mazingira kwa sababu inafanya complete combustion
WARRANTY MIEZI 6
KUMBUKA hii system ukifunga inakuwa ni ya kwako hivo ukiuza gari unaweza ukaitoa na kufunga kwenye gari lingine utakalo nunua

LOCATION: Tunapatikana mabibo NIT ndani ya chuo
📞 NAMBA : 0683477676
Whatsapp : 0683477676

Categorized in: