JUKWAALETU

UTANGULIZI

Jukwaaletu ni mtandao/forum ambalo linaunganisha watu kutoka sehemu mbali mbali nchini, kupitia jukwaa letu utaweza kubadilishana mawazo na kushea ideas tofauti tofauti kama vile kupashana habari mpya, kuelimishama , kupeana taarifa mbali mbali na watu mbali mbali. Jukwaaletu ni forum kwaajili ya watu wote .Hivyo basi unakaribishwa kujiunga ili uwe member wa forum hili.


NAMNA KUJIUNGA NA JUKWAALETU

Ili uweze kuwa member kwenye jukwaa hili unatakiwa kujiunga kwa kutumia email yako au akaunti yako ya facebook au akaunti yako ya google (googleplus).Ukijiunga na kuwa member katika forum hili utaweza kutuma post katika kipengele chochote kati ya vilivyoorodheshwa kwenye page yetu ya mwanzo. Ni rahisi sana kujiunga , unachotakiwa kufanya ni kulog in kwenye akaunti yako ya facebook au gmail akaunti na utatumia linki zifuatazo kujiunga moja kwa moja. 

NENDA MOJA KWA MOJA KWENYE JUKWAALETU BOFYA HAPA

JIUNGE SASA NA UANZE KUSHEA IDEAS NA MADA MABALI MBALI, KARIBUNI KWENYE JUKWAA LA LENU, JUKWAA LA NYUMBANI

Comments 2

  1. Anonymous says:

    pamoja mkuu

  2. lofa says:

    tumeshajiunga mkuu